Muone au mtafute Dr Mahela yuko university of Dar es salaam. nadhani atakusaidia
Google jambo husika utaona institution husika
Pia kuna myu kakushauri upate haki miliki...
Nachoweza shauri pia ni kuwa make sure hao uliotajiwa uwaone kwa msaada unawasainisha none-disclosure agreement ,kwa hiyo uwe na mwanasheria ...vinginevyo wanaweza sema ni uvumbuzi wao na hauna ushahidi kama ni wako sio wao kisheriana inaweza kuwa wana credibility kubwa kushinda wewe so rahisi kushinda.
Mwisho unauhakika kuwa ni uvumbuzi mpya? na umefuatiliaje kuthibithisha hilo?
There
are no patents available for concepts.
Mkuu,
Nenda kwenye vyuo vikuu department of math naamini utasaidiwa. Kumbuka kutafuta haki miliki kama unaamini na inaelekea kazi yako ni legit
Pia fanya uchunguzi zaidi angalia mitandaoni kama kweli hizo ni new math discovery. Isije kuwa ni njia zitumiwazo na watu wa level mbele ya ulipo wewe umejua bila kufundishwa ukahisi ni mpya kabisa. Na yahitaji uchunguzi wa kina wa jopo la wataalam kujua kama kweli njia zako ni sahihi kwa kila swali kwenye eneo husika. Mfano aliegundua "L'Hôpital's rule" in calculus (wana mahesaabu wanaelewa), alidhani rule yake ni applicable kwa kila swali in finding the limits hadi ilipokuwa proved wrong by mathematicians wengine, lakini bado njia yake inafundishwa na kutumika kusolve baadhi ya maswali. I don't mean to discourage you though. Best of luck mwanamahesabu mwenzangu form hometown MBEYA
Naomba kama kuna m2 anafahamu wapi naweza kupeleka new theorems zangu za hesabu (new mathematical invention) zinazo husiana na topic ya complex number ili niweze kuzipublish kwani ni theorems ambazo hazijawai kufanyiwa ugunduzi wala uvumbuzi wa aina yoyote kutokana na peruzi zangu kwanzia mwaka 2010
Help me pliiiiz guyz
(Swahili mathematician)
.made in mby city.
umenikumbusha mbali sana mkuu, mambo ya i. Vinginevyo wadau wametoa ushauri wa kutosha.
Naomba kama kuna m2 anafahamu wapi naweza kupeleka new theorems zangu za hesabu (new mathematical invention) zinazo husiana na topic ya complex number ili niweze kuzipublish kwani ni theorems ambazo hazijawai kufanyiwa ugunduzi wala uvumbuzi wa aina yoyote kutokana na peruzi zangu kwanzia mwaka 2010
Help me pliiiiz guyz
(Swahili mathematician)
.made in mby city.
Dr. Charles Wilson Mahela muda mwingi hakai sana nchini labda amuone Dr. Ruge, Dr. Kakiko, Dr. Alphonce, au vijana kama Mr. Sima, Mr. Mwanzalima, na wengineo.
Hahaaaaaa Dr kakiko noma. Dah
Mkuu hii anga ni pana sana, mimi amenirejesha kwenye mambo ya Residue na Contour Integral aisee hatari tupu na kichwa lazima kichemke kwelikweli.
Mkuu mimi sikufika huko, niliishia njiani, ila hiyo kitu ilikuwa tamu, sema mgawanyiko wa majukumu tu nikaamua kuchepukia fani nyingine.