Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,463
- 9,152
Nimeshtuka sanaAma ndo hizi wanachomwa watoto wetu...na wajawazito huko ma hospital [emoji31][emoji31] .whaaaaaaa...
Unasemaaaπ³π³π³Wanazileta kama kuzi tupa, hakuna wa kuzitumia...
Zinaletwa kutupwa, hakuna wa kumchona nazo...Unasemaaaπ³π³π³
π₯Ίπ₯Ί
Huko kwao hakuna madampo sio!Tanzania ndio sehemu ya kutupia takataka.ni upuuziZinaletwa kutupwa, hakuna wa kumchona nazo...
Africa ndiyo dampo lao...Huko kwao hakuna madampo sio!Tanzania ndio sehemu ya kutupia takataka.ni upuuzi
Ningekuwa rais naona wangeniua mapema sana maana kuna baadhi ya taratibu za hao mabeberu ningezikataa wazi wazi bila kificho..ni upuuzi sana π©π©π©Africa ndiyo dampo lao...
Ukiwa nje ya system ni rahisi kunena hayo, ukishakua Rais upo ndani ya system utajikuta unaendeshwa badala ya kuendesha...Ningekuwa rais naona wangeniua mapema sana maana kuna baadhi ya taratibu za hao mabeberu ningezikataa wazi wazi bila kificho..ni upuuzi sana π©π©π©
πππππaiseβ¦Ukiwa nje ya system ni rahisi kunena hayo, ukishakua Rais upo ndani ya system utajikuta unaendeshwa badala ya kuendesha...