Halafu mlikuta Kikwete ameshapanga iweje reli yote hiyo mkaharibu mipango yake kwa mihemko, leo ni aibu sijui mumekwama kwenye pori ipi, mliongopea mtazindua mwaka jana 2019, tunaelekea kumaliza 2020 bado ni ngonjera, sijui mtaficha wapi uso kwa aibu, tatizo wazembe sana nyie.
Sisi tunajivunia SGR 600km