"When people think of Italy, after the mafia and pizza, they think of AC Milan"

Mphamvu asa Internet unaitumia kwa kuangalia picha za X tu kisha shughuli zote unaenda zimwaga chooni?
Ok AC Milan kacheza mechi 58 bila kupoteza, na hao Juve wamecheza 49.
So nadhani umepata la kwenda kuwahadithia oya oya wenzio.

Mwenyewe unaona umenipa la kusema eh?
Rejea context ya mimi kutaja rekodi ya Juve, lengo la aliyeuliza halikuwa kulinganisha nani ana rekodi ndefu kama picha la kihindi, ishu ilikuwa ni Juve mefikia game ngapi unbeaten so far...
Jibu linalohusisha na rekodi za vibwengo bila shaka lingekuwa la kimbea zaidi. Umepewa mwili mkubwa utendee haki kidogo, sawa braza?
Kuhusu info search wala usihofu, mie ni mtumiaji mzuri kupita ukawaida, hence x nacheza zangu na shemejiyo wa kisukuma... Ana engine kama ina meno ya gia kwa ndani hivi.
We acha tu....
 
Marijani Rajabu - Usia Wa Baba
lengo ni kuwapa ujumbe sisi wote ni wa moja tuache kulumbana,samahani lakini kama nimetoka nje ya mada,message sent and natumaini imekuwa delivered.


Nasisitiza umoja ''ndio Baba''
Umoja kwenu ni nguvu ''ndio Baba''
Wanangu mnisikilize ''ndio Baba''
Kiburi si maungwana ''ndio Baba''
Mfanye kazi woote na matokeo mtayaona baadae...
 
"We're the team who won most international
trophies, we are the most successful team in the
world," Berlusconi added. "I'm the most successful president in the football
history, and in second place there is [former Real
Madrid president Santiago] Bernabeu, who has a
stadium dedicated to him."....
 
Mtakatifu Mames Saint Mames au San mames maarufu sana Atletico Bilbao,alitupwa kwa simba hawakumla
 
Sneijder to join AC Milan...
Source Tuttosport Friday, January 4, 2013 08:08

Wesley Sneijder could look to have his contract
terminated at Inter in order to force through a
move to AC Milan, but the Nerazzurri are
understandably intent on blocking any such move.
 
Unatamani ungezaliwa muitaliano mwenyewe.
Napata picha kama nakuona hapo barabara ya torati sijui tarati, uko mniga peke yako, afu akina Francisco na Gianluigi wanakuchukulia kama grinch vile.
Unajipendekeza kwa lugha yao, tamaduni zao, mavazi yao mpaka timu zao za mpira, wao hata kuimagine jina Abajalo hawajawahi, sembuse kulisikia.
Miafrika bwana!
Abadjalo nini Azam tu shida
 
Kaka naomba unijuze soccer camp ya ac milan ya watoto kuanzia miaka 8-17 itakua lini kwa mwaka huu
 
Ndio timu ya kwanza nje ya Tanzania kuifahamu na kuipenda licha ya kuwa shabiki Wa Man United kwa sasa. Ndio maana nilikuwa napata shida man u ikicheza na Milan kwenye uefa. Enzi hizo 1990's nawakumbuka wakali Van Basten, Ruud Gullit na Frank Rijkaad bila kumsahau beki kisiki.
 
Back
Top Bottom