When Kasie Needs Love....

Udenda sasa umenikumbusha zanzi za virobaaaa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Jiachie mamnaaaa, leo ni jumatano siku ya kati ya wiki... have fun...
 
kutwa unaweza ukanywa ngapi nambie kabsa nijue kwa kipindi chote hicho utakunywa ngapi ila sasa usilewe sana.

Hehehehe kwanini unaogopa nikilewa. .....

Kwa mie weka chupa za lita 1 tatu ndani ya wiki nzima....
 
Hehehehe kwanini unaogopa nikilewa. .....

Kwa mkee weka chupa za lita 1 ndani ya wiki izm
ah basi hapo umefika tena nachukua likizo kabisa ili nihakikishe unakunywa mpaka usahau pa kulala ulale kwenye sakafu 😀😛
 
Dah...umenikumbusha mbali sana aiseeee...zanzi za viroba!
Aisee ukichukua glass unakata hata viroba vinnee ile ya glass ya kunywea konyagi inajaa unatulia nayo mdogo mdogo
 
ah basi hapo umefika tena nachukua likizo kabisa ili nihakikishe unakunywa mpaka usahau pa kulala ulale kwenye sakafu 😀😛

Unaloliwaza tofauti na ninaloliwaza. ......

Ntakuepaa. ...
 
Kiduka hakipo..kuna ka cafe!.. uje kunitembelea tule chicken sekela

Hahahahahahhaaa ntakuja, chicken sekela tena.... hapo umenipata.

Hivi nikitaka San vita siku hizi naweza zip ata wapi? Walau nikumbukie zamani looh.

Itabidi huo mjumuiko mkuzi nae awepo.

Na mjumuiko huo unapendekeza iwe lini?
 
MWANAUME NI NANI??
mwanaume ni yule anayeenda hotelini anamwambia waiter "nikija hapa na demu sema IMEBAKI CHAI NA MANDAZI TU"
 
MWANAUME NI NANI??
mwanaume ni yule anayeenda hotelini anamwambia waiter "nikija hapa na demu sema IMEBAKI CHAI NA MANDAZI TU"

Hahahahaaa wee dudu wewe..... huja tulia hata kidogo looh

Sasa chai na maandazi si kujazana tumbo huko looh

Kisa na mkasa? ?!! Kama ni gharama tutachangia hehehehehhee sio kwa kudanganywa huko hehehehehehehehe.

Mie nikienda nikawambia hivo namwambia tuhame mgahawa twende ambayo kutakuwa na milkshake na croissant.

Umenichekesha na kunisahaulisha foleni looh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…