When a woman is attracted to a man...

lets wait for them ladies...
 
Mimi niliwahi kutonywa kwamba msichana fulani huwa anasema kuwa ananipenda sana,
Basi siku ya siku nikamuita msichana mwenyewe halafu nikaanza kumuulizia ulizia, I see I felt pity for the lady, actually abnormal, alivyokuwa anachezesha chezesha miguu na mikono utafikiri ana present ngonjera, it's true the voice was high pitched than normal.
 
hiyo high pitch ni wakati gani? je ni kila mnapokutana au akiwa anakutongoza?
 
Dahh hivi viumbe vinapenda kupita kiasi, ndio maana wanaumia
sana wakiachwa, utawasikia wakisema "kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka..."
 
bila wanawake mdomoni mwako Boflo hauishi eeeh
 
Last edited by a moderator:
duh she can do things that u hve never saw, na wakati mwingine wao ndo chanzo cha wao kuliwa
 
Boflo nafikiri wengi wangependa kuiiona sura yako halisi ....
 
Last edited by a moderator:
sio wote...shida afike chuo na hajawah kupigwa vocal..obviously itamwafect kisaikolojia
 
Dahh hivi viumbe vinapenda kupita kiasi, ndio maana wanaumia
sana wakiachwa, utawasikia wakisema "kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka..."
Ni kweli si mkipata mnachokitaka mnasepa
 
Ukiwa na hela mwanamme ndiyo hasa mwanamke ana speaks louder!Kama hauna hela a speaks louder APOTEZE SAUTI YAKE bure?

Thubutu kama hauna hela huisikii sauti yake ng'oo
 
Ya kweli hayo??

A higher pitch can also mean trouble or being confrontational. I suspect you meant she speaks in a raunchy voice............sexually promising in unspoken mannerism, though!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…