masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,891
- 15,112
Hii imetokea kipande ya Kitonga Escarpment.
View attachment 76898View attachment 76899
Madreva wasio waangalifu huishia hivi.
Jamaa alikuwa akiteremka na gia kuwa kabla ya kupiga breki.
Alipopiga breki , lahaula!
Mzigo ukaendelea kuteremka mwa spidi ile ile(momentum)
Kufumba na kufumbua cbin imeshabebwa na kontena!
Mimi nilisimama na kuulizia hali za madereva hao, naliambiwa na trafiki kuwa walipona wote.