Whatsapp

Whatsapp

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
678
Reaction score
196
wadau baada ya Ku update WhatsApp nimekuta majina yanayonekana ni yale ambayo nimechat nao,majina mengine ya watu wangu kwenye WhatsApp hayaonekani sasa natumia njia gani kuyaona!
 
Sweep kushoto zitakuwepo kwenye contact utazikuta
 
Back
Top Bottom