Leo nimedownload OGwhatsapp lakini ipo kaktika mfumo ambao wengi hawajaujua na ukimaliza ku install unafungua kuji register wana kwambia expired na baned den wanasema wambie marafiki zako wote duniani ukifungua ndani utaweza kujiregister nenda aptiode then andika ogwhatsapp watataka usearch in other sources search hapo watakuletea ogwhatsapp na chini ake kutakuwa na ogwhatsapp dr cell ya five days ago Ichukue hiyo ndo ogwhatsapp yenyewe kwenye tatizo tuambizane