Samsung Galaxy zipo nyingi yako ni ipi?
fungua:
https://play.google.com/ kwenye simu yako then tafuta whatsapp kwenye search box.
unaweza search kwenye mtandao kuna maelezo mengi na mengine yapo humuhumu. ni muhimu kusearch kabla ya kupost humu. Kuna thread moja ya
chief-mkwawa ameelezea vizuri namna ya kusearch kwenye mtandao sema nimeitafuta sijaipata.