Naomba kuelekezwa namna ya kudownload na kuistall whatsapp kwenye simu yangu samsung galaxy
Asante ndugu simu yangu ni samsung galaxy s2 plus nimejaribu kuingia hapo lakini sijaona whatsapp. nisaidieSamsung Galaxy zipo nyingi yako ni ipi?
fungua: https://play.google.com/ kwenye simu yako then tafuta whatsapp kwenye search box.
unaweza search kwenye mtandao kuna maelezo mengi na mengine yapo humuhumu. ni muhimu kusearch kabla ya kupost humu. Kuna thread moja ya chief-mkwawa ameelezea vizuri namna ya kusearch kwenye mtandao sema nimeitafuta sijaipata.
fungua internet kwenye cmu yako alafu andika whatsapp itakuletea downloadAsante ndugu simu yangu ni samsung galaxy s2 plus nimejaribu kuingia hapo lakini sijaona whatsapp. nisaidie
Ujiandae kulipa dola 0.99 ikipita mwaka
Best.....hii huduma ya whatsapp inalipiwa wap? Maana wamenishanifungia hii huduma