Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,944 Reaction score 810 Feb 7, 2014 #1 Niliifunga whatsapp kwenye hiyo simu tajwa hapo juu nikaifungua lakini kila nikitaka kuirudishia inagoma msaada wakuu.
Niliifunga whatsapp kwenye hiyo simu tajwa hapo juu nikaifungua lakini kila nikitaka kuirudishia inagoma msaada wakuu.
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,944 Reaction score 810 Feb 9, 2014 Thread starter #2 nasubiria msaada wenu wakuu
J john hotsam da1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 396 Reaction score 79 Feb 9, 2014 #3 Jaribu kuifuata na udownload upya....au subiria wataalamu zaidi
Old Skuli JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 690 Reaction score 178 Feb 9, 2014 #4 Osaba said: Niliifunga whatsapp kwenye hiyo simu tajwa hapo juu nikaifungua lakini kila nikitaka kuirudishia inagoma msaada wakuu. Click to expand... Uliifunga kivipi? Au ndo kiswahili cha installation?
Osaba said: Niliifunga whatsapp kwenye hiyo simu tajwa hapo juu nikaifungua lakini kila nikitaka kuirudishia inagoma msaada wakuu. Click to expand... Uliifunga kivipi? Au ndo kiswahili cha installation?
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,944 Reaction score 810 Feb 9, 2014 Thread starter #5 john hotsam da1 said: Jaribu kuifuata na udownload upya....au subiria wataalamu zaidi Click to expand... Niliifuta kila nikiidowload inakataa
john hotsam da1 said: Jaribu kuifuata na udownload upya....au subiria wataalamu zaidi Click to expand... Niliifuta kila nikiidowload inakataa
Mu-sir JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,621 Reaction score 1,645 Feb 9, 2014 #6 Uliifuta au uli uninstall?