chimela Member Joined Jul 14, 2016 Posts 63 Reaction score 142 Feb 17, 2017 #1 Msaada kwenye tuta tafadhali: Simu yangu ni blackberry curve 9300 imefungiwa Whatsapp sasa nawezaje kuipata app ya whatsapp itakayoendana na uwezo wa simu yangu
Msaada kwenye tuta tafadhali: Simu yangu ni blackberry curve 9300 imefungiwa Whatsapp sasa nawezaje kuipata app ya whatsapp itakayoendana na uwezo wa simu yangu
shabani kandege Member Joined Jan 25, 2014 Posts 45 Reaction score 14 Feb 17, 2017 #2 Hio huezi kupata tena muda wake umekwisha wa kutumia whtsp