Select Store in iTunes.
Scroll to the bottom right, click the flag ball icon then chagua nchi uliyopo.
hautaweza kuinstal whatsapp kwenye ipad kuipitia appstore ya ipad. Hiyo ni kwasababu whatsapp haijatengenezwa kwaajili ya ipad. Utaweza kuinstal endapo tu utaiJailbreak na kufanya hivi. Download 'iphone configuration utility' ya computer na whatsapp ipa kupitia google then connect hiyo ipad kwenye computer alafu instal hiyo whatsapp uliyodownload kupitia hiyo configuration utility. Baada ya hapo utatakiwa kuinstal tweak moja inaitwa 'whatspad' kwenye cydia kupitia bigboss repo, hiyo itasaidia kuweka interaction ya ipad na gsm network ili kuisajili whatsapp, baada ya hapo utatumia whatsapp kwenye ipad yako kama kalawida,,sema itakuwa na resolution ndogo kwenye kioo cha ipad kwasababu ilitengenezwa specifically for iphone,,Wadau!Je, nifanyeje ili kuinstall app hii katika iPad. Nikijaribu inasema account yangu is not valid kutumia store ya US na kunitaka ni switch kwenye Tanzanian store. Sasa nina switch vipi? Au solution ni nini, au je, whatsApp haiingii kwenye iPad?thanks