Whatsapp account moja kwa line mbili

Mkuu nielekeze jins ya ku install watsup plus kila nikijaribu nashindwa

Umejaribu kivipi ukashindwa?
JINSI YA KUINSTALL WHATSAP +
1.fanya backup ya chatting yako kwa kuingia setting ya whatsap yako then sehemu ya conversation
2.uninstall hiyo whatsap yako ya googleplaystore
3install whatsap+,hapa hakikisha kule kwenye setting ya simu yako umeruhusu unknown resource kwa kuweka vema(tick)ili uweze install application(apk) ambazo hazipo play store
4 endelea install kama unavyoinstal whatsap ya kawaida,ikigoma tena hapa katambike kwenye mizimu yenu
 
waungwana nami nisaidieni jinsi yakuungalisha watsup acount moja kwa line mbili plz
 

Nimekupata
 
waungwana nami nisaidieni jinsi yakuungalisha watsup acount moja kwa line mbili plz

Daaaah deoshirima mbona unapenda kusumbua watu mkuu kuna jamaa page ya kwanza kabisa katoa maelezo vizuri kabisa sasa sijui watakaje Gambas hebu msaidie Kijana wako
 
Last edited by a moderator:
Daaaah deoshirima mbona unapenda kusumbua watu mkuu kuna jamaa page ya kwanza kabisa katoa maelezo vizuri kabisa sasa sijui watakaje Gambas hebu msaidie Kijana wako

Naomba uni pm nikitumie,naona natuma pm haziji
 
Last edited by a moderator:
Daaaah deoshirima mbona unapenda kusumbua watu mkuu kuna jamaa page ya kwanza kabisa katoa maelezo vizuri kabisa sasa sijui watakaje Gambas hebu msaidie Kijana wako
Mmmh!pengina hajaiona arudi back page ya kwanza kabisa imejitosheleza hiyo kitu....
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale wapenzi wenzangu wa Whatsapp+ now unaweza piga simu kwa kutumia whatsapp kama ilivyo kwa viber, sijui hii kwa official whatsapp kama nao weshaweka,


nipo naenjoy tu hapa wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…