Whatsapp account moja kwa line mbili

Quicklime

Senior Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
177
Reaction score
64
Hello wadau nataka kujua kuhusu namna ya kuunga hii kitu, yaani simu yangu moja inakuwa na whatsapp ambayo inakuwa connected na line mbili.

Nimesikia hii kitu ipo ila aliyeniambia aliona tu kwa mtu...

Shukrani za dhati!
 
Hatua ya kwanza kabisa fungua whatsapp uliyonayo kwenye sumu kwa sasa (official whatsapp)

Baada ya kufungua nenda setting na backup conversation

ukishafanya hivyo un-install (ondoa) hiyo whatsapp

Baada ya kuiondoa hiyo whatsapp rudi katika home menu ya simu yako na fungu File manager

Ukishafungua tafuta folder limeandikwa Whatsapp lihold ilo folder kwa ajili ya kurename ukifanikiwa (najua utafanikiwa) Liandike OGwhatsapp


Baada ya kumaliza hatua hiyo ingia google na download "Ogwhatsapp apk" na u-install na weka namba ile iliyokuwa kwenye whatsapp official uliyoondoa backup na hapo utakuwa umemaliza kwa namba ya kwanza



kwa namba ya pili download upya sasa official whatsapp yako playstore na uweke namba ya pili unayotaka tofauti na ile ya kwanza.


Enjoy
 
Noo niko barabarani...

Nikifika ntafuata maelekezo muda si mrefu ntakupa mrejesho...
 
Poa mkuu! kama ni mtundu sana unaweza pia Whatsapp+ kwa muonekano mzuri zaidi,
 
Poa mkuu! kama ni mtundu sana unaweza pia tumia Whatsapp+ badala ya whatsapp official kwa muonekano mzuri zaidi,
 
Let me try coz i have a phone with line
 
Ouky hiyo apk inahitaji more external memory!huwa haikubali internal storage au?
 
What's app yangu imepigwa ban,hii ni kutokana na nilikuwa nataka kuweka what's app plus.nifanyaje wakuu ili ifanye kazi kawaida??shukrani
 
Mkuu! unajua kuwa unaweza tumia Telegram acc mbili kwa simu moja? pia inapiga kazi flesh kabisa naenjoy tu hapa

Yaaah nalitambua hilo but hii telegram sina interest nayo sana coz sina watu wengi kule,pamoja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…