Tatizo ni line yako, tena kama ni Voda maana wanacheleweshaga ile Verification sms, na ikichelewa huwezi ku-proceed na kujiunga whatsapp, hizo simu ziko poa sana tu.
naomba kama kuna anaejua nini tatizo la tecno Kwenye whatsap aplication mana nilianza na P3 whatsap ikagoma nikanunua M5 ikagoma baada ya muda.hili si kwangu tu pamoja na baadhi ya watu wenye simu za tecno.
Solution ni kwamba. Hiyo whatsapp unayoikuta kwenye simu wakati umeinunua huwa haifanyi kazi kamwe. Lazima uitoe na u download nyingine. Mimi natumia tecno l3 na whatsapp haijawahi nisumbua kabisa tangu nimedownload.