naomba kama kuna anaejua nini tatizo la tecno Kwenye whatsap aplication mana nilianza na P3 whatsap ikagoma nikanunua M5 ikagoma baada ya muda.hili si kwangu tu pamoja na baadhi ya watu wenye simu za tecno.

Naomba kama kuna anaejua nini tatizo la Tecno Kwenye whatsapp application maana nilianza na P3 whatsapp ikagoma, nikanunua M5 ikagoma baada ya muda. Hili si kwangu tu pamoja na baadhi ya watu wenye simu za tecno
So far tecno zisizo na mawenge na nnlizo tumia ni N3 pamoja na phantom A, A+ na A2 hazijawahi kataa app hata moja labda N3 kukutaa some apps sababu ya udogo wa Os maana ina 2.3.6 gingerbread
nami p3 kwangu inapiga mzigo kama kawa,but simu hizi ktk weak signal of network utazichukia,kwa hiyo ndugu yangu yawezekana upo ktk eneo ambapo mtandao unashika kwa shida.jaribu kubadilisha mtandao ili uweze kufaidi app kibao toka playstore