hzo ni za iphone mkuu...ps2 quality!huwa nazipakua apptrackr.org!mkuu, web gan unaweza kuzipata, alafu hapo kna ya mission.
heshima yko chief, itakuwa useful kwa wenye iphone, m cna hyo. Subr niperuzi hiyo web ya kbongo.kama una symbian phone yani smartphone kuna game zaitwa symbian hd yani ni nowma quality yake hufanania na playstation one games download kupitia games.gameloft.peperonity.com au wapday.com au phoneky.comjava game mi napenda sana strategies game kama ancient empire na art of war napenda zaidi kutumia akili msisahau kuna online games pia kama age of heroes online (aoho) ni nzuri pia yapatikana hapa aoho.qplaze.comwapsite ya kitanzania nzuri kwa gamez nenda hemedans.xtgem.com
sniper mkuu, ukiweka na web itaturahisishia kuipata na kudownload. Heshma yko.
kwa wny Nokia N and E series.Mkuu kwa wanaotumia iphone wanaenda kwenye program ya itunes---appstore----ukisearch angrybirds unaipatakwa wanaotumia blackberry kuna same game ila jina wanaiita angry farmskwa wanaotumia android smartphones ukiingia amazon appstore ukisearch angry birds unaipata
Mkuu kwa wanaotumia Nokia N and E series, nenda kwenye ovi store ---Games utaipata Angry Birds, usipoiona isearch kwenye ovi storekwa wny Nokia N and E series.
Mkuu kwa wanaotumia iphone wanaenda kwenye program ya itunes---appstore----ukisearch angrybirds unaipata
kwa wanaotumia blackberry kuna same game ila jina wanaiita angry farms
kwa wanaotumia android smartphones ukiingia amazon appstore ukisearch angry birds unaipata