Whats wrong with the word???

nimekubali ndo ccm inataka tuwe chukuwa hatua
 
inasikitishaa sanaa haswaa pichaa ya kwanzaa,imenipaa simaziii la moyo.
 
Wengine wanatamani waishi milele wangine wanalaani kwanini walizaliwa wanatamani wafe hata leo ndio maana CDM wamesema wako tayari kufa kamwe hawataacha kundamana haya maisha tunayoishi hayakubaliki,asiyenacho atanyang'anywa kabisa mwenye nacho ataongezewa.
 
kama hatuta weka maneno yetu kwenye vitendo yani haya ndiyo tunayoyaelekea..!
 
Hapa nimeguswa nusu nilie, ila sababu kubwa ya haya ni ufisadi, un equal division of our cacke, Mungu azidi kutulinda waja wake, atutie nguvu na ushindi tunapotafuta zilizo haki zetu. Karibia picha zote za kushoto ni za watu wa nchi zilizo endelea while kulia ndo sisi wa nchi wananchi masikini ila viongoziu wao matajiri wasio na mfano, time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…