Hahaa yaani kwa Mswahili asietoka outside Tanzania can not even imagine that waswahili waliopo abroad wapo katika hali ngumu za kimaisha. Hii ni moja kati ya hali ngumu za maisha baadhi ya waswahili hawana permit ya kusafiri kwenda popote karibu miaka 20. Allah awafanyie wepesi wote