V VictoriousYouth Member Joined Jan 16, 2014 Posts 63 Reaction score 11 Mar 17, 2014 #1 Wadau naomba kujuzwa kuhusu kinachoendelea na hawa watu (BOT na TPDC) kwa nafasi za kazi walizotoa. Au tiyari watu walishaanza na kazi? I need your help please wadau.
Wadau naomba kujuzwa kuhusu kinachoendelea na hawa watu (BOT na TPDC) kwa nafasi za kazi walizotoa. Au tiyari watu walishaanza na kazi? I need your help please wadau.
mbota JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,064 Reaction score 630 Mar 17, 2014 #3 Much expectation is Distress. Take care
Davion Delmonte Jr. JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 2,149 Reaction score 1,720 Mar 17, 2014 #5 we kaka bado una moyo wa kusubiri... hii ndo bongo, fanya aplication leo baada ya mwezi ukiona kimya fanya hivi..:flypig:
we kaka bado una moyo wa kusubiri... hii ndo bongo, fanya aplication leo baada ya mwezi ukiona kimya fanya hivi..:flypig: