What's on your mind today?

Sisterhood inaku- applaud πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ hao watu huwa wanakera sana, ukiongeza na wale wauza vitu au nguo masokoni. Wapo too comfortable kushika shika wanawake wasiowajua na ukimkataza anaona kama unamuondolea haki yake anaanza kukutusi.

Ila mama alikua sahihi na ni bora umeacha, hasira za kureact si nzuri!
 
Nilishaacha kwa sababu najijua huwa nabolt zangu sitaki kubugudhiwa , nikienda sehemu za watu wengi siwapi attention afu naweka wa mbuzi🀣

Gladly nishaacha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…