kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,069
- 4,895
kampuni ya whats app imeongeza uhondo wa status ambapo sasa status inakuwezesha kuweka picha, video au GIF na pia inakuwezesha kujua nani alio view status yko.
Ili mtu aweze ku set status anatakiwa aingie kwny category ilioandikwa status then chagua kitufe cha camera hapo utaweza kuchagua n picha ipi au video ipi toka kwny gallery yko unataka kuiweka km status yko na pia inakuewezesha kuandika maneno au kuset emoji kwny picha au video husika
Status hii itakaa kwa masaa 24 na na unaweza kuichange mda wowote au kuidelete.
kitufe cha kudelete kinaonekana hapo pembeni