oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
Stick to your decision...atleast a lil' bit longer! Dont be so cheap..
thank you
umeishi na boyfriend wako kwa miaka mi 3 sasa,ila miaka yote umemvumilia mateso yote,like kuku gombeza na kukuambia muachane ukikosea kidogo,alafu siku ya siku nawe ukachoka kabisa,mana kakuambia tauchane ww sio wife material,mpumbavu,unakasoro nyingi,hunifai na some stuffs,ukaamua kumwambia poa am living my life now,afu eti baadae baada ya kuona nawe umemute anarudi kuomba msamaha,na kukiri kua ni kweli kakutreat vibaya sana,hataki kukupoteza,u min so much to him,na akapromise kuchange,utamsamehe na kumrudia?or u will stick to your decision?
Angalia moyo wakoi ngawa hujasema huwa unafanya nini mpaka yeye akwambie maneno yote uliyotuambia hapa hivyo tuna stori ya upande mmoja tu ambayo umejaribu kutuonesha makosa ya mwenza wako pekee,sidhani kama inawezekana mtu hujamfanyia lolote akakukuta tu na kuanza kukwambia maneno hayo.
Hebu funguka zaidi tukushauri vizuri.
Alikuchukulia for granted, kwamba chochote anaweza fananya na huwezi kumuacha, na hii ni tabia ambayo hujiinua pale upande mmoja unapoonesha upendo sana kwa mwingine. isipotekea balance, anayependwa sana japo mwanzoni anakuwaga na upendo ila akishaoneshwa kupendwa sana upendo wake unaanza kushuka na kubweteka. So hapo inakuwa kama sitaki na taka na visa vingi huanzia hapa. kama ni simu anaweza asipokee cause anajua utapiga tu, akikosea anakaa kimya hadi wewe umuombe msamaha kwa makosa yake, apointments anazipuuzia na anaanza kuonesha hata akikuacha atapata tu mwingine etc etc.
On the other hand yupe mpendaji sana, asiposhtuka na kuchukua maamuzi, ataendelea kuteseka zaidi na zaidi kwa kuwa ana upendo wa kweli (upendo unagrow pale unapokosa uhakika sana so kila saa unakuwa unatamani kupata uhakika so unakuwa na upya). Na ukishtuka ukachukua hatua, yule aliyebweteka ndio anaamka, he kumbe ni kweli, akili ndio inarudi sasa na kuanza kuomba msamaha msamaha. Point yangu kubwa hapa ni kujifunza namna ya kubalance upendo wako kwa mwezako.
''who loves the most suffers the most, who loves the least suffers the least and he/she controls the relationship''
Mniwie radhi wakuu sijaandika haka kaobservation kangu kwa mtiririko unaofaa sana.
dah! am a cheater but I don't give shiit to whoever who cheat me... Kwa kukupa second chance Basra ya kumcheat it possibly kwamba he loves you.. So give him a second chance Mkuu...okey nilimcheat wakati tuna relation ya 2 mnths na reason was that i was not serious with him,because hukonlikotoka niliumizwa sana,alafu na yeye pia kuna ishu alinidanganya so nikaona ni walewale yani,thats why i cheated,but alisamehe
yaani you are very true,mimi ndo nilifall sana kwake,mana saivi ananiambia kua alivimba kichwa sana alivojua nampenda,so hata habari ya simu ni kweli kabisa
kusameheana na wajibu wa kibinadamu hivyo msamehe huenda aliputiwaumeishi na boyfriend wako kwa miaka mi 3 sasa,ila miaka yote umemvumilia mateso yote,like kuku gombeza na kukuambia muachane ukikosea kidogo,alafu siku ya siku nawe ukachoka kabisa,mana kakuambia tauchane ww sio wife material,mpumbavu,unakasoro nyingi,hunifai na some stuffs,ukaamua kumwambia poa am living my life now,afu eti baadae baada ya kuona nawe umemute anarudi kuomba msamaha,na kukiri kua ni kweli kakutreat vibaya sana,hataki kukupoteza,u min so much to him,na akapromise kuchange,utamsamehe na kumrudia?or u will stick to your decision?
Yafaa mkae mzungumze maana inawezekana mnaishi kwenye mapenzi yenye visasi kitu ambacho si kizuri,wanaume tuna wivu sana na ni wagumu sana kukubaliana na wakati ambao huwa tunajua wenza wetu wamekwenda kinyume na sisi ndio maana ni rahisi sana kuona mwanamke anamfumania mpenzi wake na akasamehe lakini ni ngumu sana kwa mwanaume kusamehe.okey nilimcheat wakati tuna relation ya 2 mnths na reason was that i was not serious with him,because hukonlikotoka niliumizwa sana,alafu na yeye pia kuna ishu alinidanganya so nikaona ni walewale yani,thats why i cheated,but alisamehe