oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
umeishi na boyfriend wako kwa miaka mi 3 sasa,ila miaka yote umemvumilia mateso yote,like kuku gombeza na kukuambia muachane ukikosea kidogo,alafu siku ya siku nawe ukachoka kabisa,mana kakuambia tauchane ww sio wife material,mpumbavu,unakasoro nyingi,hunifai na some stuffs,ukaamua kumwambia poa am living my life now,afu eti baadae baada ya kuona nawe umemute anarudi kuomba msamaha,na kukiri kua ni kweli kakutreat vibaya sana,hataki kukupoteza,u min so much to him,na akapromise kuchange,utamsamehe na kumrudia?or u will stick to your decision?