Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,632
- 8,320
Mambo ni mengi Sina hata haja ya kutoa salamu za utangulizi , Niko na mixed feelings Niko Na speed kama Maisha ya Kila siku , niseme tuu life halinitendei poa au Mimi sijitendei poa .
Nipo katikati kama stick ya mshkaki, maisha binafsi yananipiga chenga week hii, MAZINGIRA ya kazi Not friendly anymore,
Nimeanza na kusmoke shada .. Nimedata sielewi kabisa .. Wana Jamvi,
I'm sad and depressed. Idk why .. siwezi kumuamini mtu siwezi kujiamini
Nina hofu , Nina experience anxiety at a highest level, Sijawaza Kujiua , Sijawaza kufanya chochote kibaya ila , Naumiza Watu wanaonipenda .. majibu shits na Najiona shamaliza , yaani life is driving me fucking crazy