Mkuu,umeniacha kwenye mataa. Hiki ulichokizungumza?The combersom ridicuriosity of impeachatable dranatise the bizzare of dullibess of ccm after totally or partially ripivroheras appendicular sabotage of lissu,this simbolise the affectionism of embramence at large
Mnatia huruma nyinyi, Jana Mlikuwa mnaharisha tu babekiMakamanda mnatia huruma aisee.
Tulikuwa kimya sisi kina nani?Mbona Mlikuwa kimya kabla ya tamko la Tume lisilo na basis yoyote ya kisheria? Uchaguzi huu mgumu, na Mbona tumeshawajulisha?
Msije kufikiri hii nayo ni kuzurura na magunia ya hela za Umma na kugawa hovyo kwa watu wanaowasifia barabarani, Kazi ipo mbele..
Kwanza Lazima mtueleze mgombea wenu siku Ile wakati anaagiza Lissu auawe alikuwa amelewa? Au alivuta bangi ya Burigi?
When you can’t argue the facts, you resort to your tired little tactic of playing the tribalism card.Nyani akishakamatwa na ukabila na ukanda ndio hujaga hivi. As long as you have been blinded by Nepotism and Tribalism , you won’t see a logic in Lissu objections!!
Keshamaliza kulipa mkopo wake?Sasa si ni gari lake? Ulitaka awazawadie polisi kwa kazi waliyoifanya Tarh 7/9/2017?
Hiyo zawadi watapewa na Mwuaji aliyewatuma
Tuwe wakweli Lissu made a very clear point with reference to the law. He knew that NEC will turn down his objections but he poked the hole. And we all know that NEC imempitisha mgombea ambaye nakuweka picha sahihi kwenye fomu. Na hili kinaruhusiwa kuwa ccm wanatunga sheria lakini wao hawazismamiiHii ndio sababu ya kushangilia upuuzi wa Lisu jana?
Hahaha....Petty MATAGA never saw that.Love is blinding you, you cannot see the logic in tactical side of Lisu’s moves! The first thing was to counter ccm’sobjections, but second and main is to set the record and starndards straight! If you refuse Tundu’s objections because they are unfounded and miner, then do the same to his member of parliament and madiwani! (English siyo yetu sote!)
Ila ni kweli kachoka hata camping badoKiukweli TL amejua kumzingua magu mpaka amezeeka kwa week chache tu huku Tl anacheeka kwa mbali na pop corn
Kanuni ya picha za utambulisho zinataka ujulikane kama una masikio mawili au moja, macho mawili au moja, pua matundu mawili au moja na mdomo uonekane ulivyo, hiyo ndiyo kanuni.Anasema picha ya Magu haikuonekana sikio moja
Tafiti zinaonesha Fisiemu ni Chama kinachopendwa na Wajinga na wazee, So kafie mbele huko, mkilemewa mnaanza kupiga watu risasi wauaji Wakubwa nyieTulikuwa kimya sisi kina nani?
Uneona kuna mtu anahangaika na huyo Lisi wenu!
Kila siku ana hangaika kama kuku anataka kutaga, na watu wamemwacha ajihangaikie akichoka ataacha.
Yani kina Polepole waache kupanga mikakati ya ushindi huku field waanze kukimbizana na Lisu kwenye drama zake?
Kafie mbele huko sympathizer wa muuaji,.Keshamaliza kulipa mkopo wake?
Can you translate that for me, please?The main reason for all the objections that Hon. Tundu Antipas Lissu and his mate Hon. Salum Mwalimu made for the two candidates; was to remind the nation and NEC that John Pombe Magufuli is just a presidential candidate like others & nothing else.
Be hamble, be calm. This election is for big minds.
Typical kamanda!Kafie mbele huko sympathizer wa muuaji,.Kwani polisi ni bank? Ona Ulivo boya
Ana sifa za kukopeshwa, je wewe una sifa za kukopeshwa zaidi ya kufanywa kimada na mfalme Juha (Meko)!Keshamaliza kulipa mkopo wake?