AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 14,680
- 25,359
Kuna watu wanableed siku 10 hadi 15 halafu bado wanaishi usishangae sababu sio wewe, ni sawa na kumshangaa mtu anakwambia ana kitundu kwenye moyoKwamba miaka yote wako hivyo toka udogoni?
Ni kawaida kwao?
Lemme make myself clear, sawa? Kuna watu wana light flow na wengine wana heavy flow na ni kawaida tangu waanze hiyo hali, nimeamua leo kufahamu kwanini tangu waanze wako hivyo?umeelewa?.. Prolonged use of contraceptives also may result that condition
Relieving this typically involves shifting your physiological response through physical exercise, deep breathing, prioritizing sleep, and addressing the root stressors in your environment.What exactly should be done to get rid of that state?
Hakuna kitu unaweza kufanya ndio Mungu kakuumba hivyo huwezi kurefusha miguu uliyopewa ikawa mirefu kuzidi hapo ilipo utajipasuaWhat exactly should be done to get rid of that state?
Ndivyo walivyo ni body mechanism (mechanics) welcome to Raccoon CityLemme make myself clear, sawa? Kuna watu wana low flow na wengine wana heavy flow na ni kawaida tangu waanze hiyo hali, nimeamua leo kufahamu kwanini tangu waanze wako hivyo?umeelewa?
Kazi ipoNdio
Kishuzi? Unatafuta kupata tabu huelewi maana rudi usome tena usikurupuke shauri yako utakatwaHmm verbose una kishuzi chote hiko?
Mimi Mwanaume nina Mwamvuli hujasoma wameandika Home of Umbrella au umeziba macho?Nimesoma nilijua huyo ndio wewe chini yake, si unajua jf kichaka🤓
Hormonal imbalances and structural uterine conditions like fibroids.
Daah, mimi niliwaza vitu tofauti kabisa yani.What Really Causes Heavy Flow? Hormones, Fibroids, Stress or Lifestyle?
Huna hio sababu hunaSina nini?