What most men consider to be “Wife Material”

Mwenye hizo sifa zote hayupo duniani. You can't get everything in life, you've got to compromise!!!
Na kweli, kuna wengine wanakwambia wao ni chura tu,mengine watavumiliana[emoji85] [emoji85]
 
Haya bana, nadhani watu wata-adjust characters ili wa-match.

BTW; how long do you stay with one avatar?
 
Na kweli, kuna wengine wanakwambia wao ni chura tu,mengine watavumiliana[emoji85] [emoji85]
Watakuwa adults wenye mentality za kitineja hao. Btw, najua hata wewe umekirimiwa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Watakuwa adults wenye mentality za kitineja hao. Btw, najua hata wewe umekirimiwa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ndio hao yakibuma thread zinafunguliwa mia mia.
 
BTW; how long do you stay with one avatar?

Long enough til I remember or come across another legend in my world, I guess. If I had it my way, I'd be changing my IDs as regularly. For instance, now I feel like be paying homage to one of my heroes by the name Phineas Flynn Fletcher.
 
Noted man, make kuna ile na kuwa nimeshaanza kuizoea moja kesho nashangaa kitu kimebadilika.

Nimekusoma.
 
ungeweka hata kwa hii lugha yetu ya Taifa ingekuwa poa sana[emoji15]
 
duuhhh!!mpangaji..

huyo ni malaika sasa

Maza house, rejea kichwa cha mada. Haya ni maoni ya wanaume wengi, siyo mmoja na wala siyo wanaume wote.

Kimsingi kila mwanaume ana sifa zake 2/3 au hata 5, zimekusanywa zilizotajwa zaidi na kuwekwa pamoja. Meaning, ikitokea una sifa zote hizo kama Sky Eclat, una-appeal kwa wanaume wengi zaidi; ukiwa na mojawapo au kadhaa, una-appeal kwa wanaume baadhi.

Hakuna mwanaume mmoja anayetaka sifa zote hizo, au hata nusu, kutoka kwa mwanamke.
 
Sounds like a job description.
 
Nimecheka sana mkuu, that was a marketing strategy.
 
hapo sawa mi nnazo nusu yake[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…