Kuna dada aliyekuwa mgonjwa sana.. Alikuwa jirani yetu.. Ingawa alikuwa amenizidi umri,niliamini,na nadhani hata leo naamini alikuwa ni binti mwenye sifa zote za uzuri kati ya akina dada niliopata kuonana nao!
Nilipenda kumtoa out kila nilipopata hela,yaani raha yangu ni kuwa naye tu! Nilimkubali sana. Unajua ile hadi kumwomba namba ya simu unaogopa. Sikuwahi kumuapproach,hata hivyo nilipenda sana kampani yake,kwani midume lazima itakata shingo! I guarantee! Ilikuwa lazima atatazamwa..
Wanaoishi Dar,hasa Kariakoo,na wanaoifahamu hoteli ya Palace(opp na Concord hotel),nilipenda sana kwenda naye pale.
Sasa siku ya Jumamosi nikiwa ofisini,nililetewa taarifa na jirani tuliokuwa nao kuwa yule dada kafariki na mazishi yanafanyika Kinondoni!
Haukuwa msiba wa mimi kukosa kwenda... Lakini alikuja girlfriend wangu(baadaye nilikuja kujaza naye watu Lutheran K'nyama),nikaahirisha kwenda mazishini,nikaenda na mpenzi wangu safari zetu!
Need I say more?!
Miaka hiyo ya 2000 mwanzoni,