kama ulifanya 2nd round ni kawaida huwa inatokea sometimes tcu wanapokuwa wanafanya selection inakuwa kwamba profile zinaingiliana angalia unapologin jina na no inayokuja kama ni yako, Tatizo hilo huwa ni temporary tu ila Kama namba na jina ni lako basi huenda ikawa case tofauti ingawa inatokea Mara kadhaa ila inaisha