privatepurpose
Member
- Sep 27, 2011
- 7
- 10
Kama kweli wewe unamjali mkeo, basi haya mambo mngeenda wote clinic na sio kukimb ilia JF
Use your common sense, if have it though
Mkuu,
Umeboa!
Hii kitu haina raha yoyote kuongelea hapa majukwaani, especially kama unayemwongelea ni mwandani wako!
Una raha gani aisee?
Kakaeni kama familia na mkeo muongelee jinsi ya kukabiliana na challenge ya maisha haya na yajayo, na jinsi ya kumlea mtoto wenu mtarajiwa, na zaidi kumwepusha na tatizo!
Andamana na mkeo muwaone medical practitioners mara moja!
shukrani wakuu, mods mnaweza mka'delete hii thread isije ikaleta madhara kwa wengine ambao walikuwa hawajui.
wewe ni mkunga? maana uwa wnaandika mpaka pmct3 sasa na hiyo ina maana gani? kama ameathirika akiwa na hilo neno kwa nn hawamuambii mapema? na kwa nini kwenye ile sehem ya vdrl inawekwa negatve km ameathirika? hebu fafanua Noti mpya tzUsiogope PMTCT1 ni kwamba hana maambukizo lakin kama ingekuwa PMTCT2 hapo ndo inaonyesha kuna kitu cha pili yaani ameungua
kwako wewe inaonyesha tu hujiamin na ningekushauri ukapime mana si busara kufanya kama baadhi ya watu wanavyofanya eti mke akipima clinic negative basi na yy atakuwa negativ, si kweli kapime
ondoa shaka, nenda kamuone muhudumu wako wa afya au kama kuna watu wenye ujuzihumu waje watoe ufafanuzi!Hivi kama mtu ameungua kuna haja ya kuficha na kumwandikia kwenye kadi pekee bila kumwambia ukweli ilihali anajua kuwa an tatizo? unakuta unaandikiwa hiyo 1 au 2 halafu unaambiwa huna tatizo hiyo imekaaje?