privatepurpose
Member
- Sep 27, 2011
- 7
- 10
Hi GT!
My wife is pregnancy (5months) her clinic card shows she has blood group 0 and rh +ve
and PMCT1
Update!
Nilileta hii mada kipindi hicho na kiukweli ili kupima upepo nipate majibu ya uhakika niliweka kuwa ni PMCT1 ila ilikuwa inasomeka PMCT2, kweli nilimkatalia mke wangu kwenda nae na yeye kwa jeuri alivyorudi baada yakupima akanidanganya kuwa kaathirika, , mtoto alizaliwa fresh Februaly 2012 binti yupo Pre unit sasa. Mimba ya pili mwaka jana Clinic waligoma kabisa kumpima wife bila mimi, walahi nilienda huku kiroho kikidunda balaa, kwa mara ya kwanza kupima, nesi alivyosema tu hongereni kwa uaminifu wenu kwenye ndoa aisee nilishusha pumzi, nilivyotoka pale nkamwambia wife umeona nilivyomwaminifu kwako?? Teh teh teh, kumbe mimi kimeo (sorry kwa kusema hili ), ila sikurudi kupima mara ya pili, alienda mwenyewe, Now baby boy ana miezi 10, ukipima ukikutwa huna inasaidia kupunguza umalaya sana, mimi nimepunguza sana mambo hayo.