e2themiza JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 974 Reaction score 564 Sep 9, 2011 #1 MARAFIKI.COM ilikuwa my best chating site nlikuwa naingia uko kwa day nakukaa hours meeting new friends chatting na wa bongo wenzangu hehehe! just chating yani ilikuwa bomba sana n that was like a year a go sasa mashindwa elewa mpaka leo yani imetelekezwa au ndo ule ule uzembe wa wabongo... why? Yani ni kwamba ukifungua hompage nafunguka fresh kabisa Marafiki.com - making friends has never been so easy... sasa tatizo linakuja kwny button au place unapoclick kuingia chatroom... ni kwamba walikuwa wana domain name mbili Darchat.com na Welcome To Marafiki.com | Karibu Marafiki.com sasa iyo link ya kuanza ikaisha muda wake wa kulipia na ime expire but the second one works fine sasa tatizo ni kwamba kwenye HOMPAGE imelinkiwa link ya kuanza iliyo expire sasa since last year mpaka leo hawaja fix apo au kuapdate iyo link ata kusema labda wameshindwa lipia iyo link ya kuanza sasa kwanini wasi update hompage na kulink link ya pili ambayo ndo inakudirect moja kwa moja kwenye chatroom?... kweli this is insanity au labda kuna sababu zingine coz kwa sasa iyo link ya pili wanao watu wachache sana so room kwa day anaingia mtu moja mara siku zingine hamna mtu kabisa... kwasababu watu wanafungua homepage na wakiclick kuingia chatroom wana kuwa redirected kwenye page inawaombia kuwa imexpire.
MARAFIKI.COM ilikuwa my best chating site nlikuwa naingia uko kwa day nakukaa hours meeting new friends chatting na wa bongo wenzangu hehehe! just chating yani ilikuwa bomba sana n that was like a year a go sasa mashindwa elewa mpaka leo yani imetelekezwa au ndo ule ule uzembe wa wabongo... why? Yani ni kwamba ukifungua hompage nafunguka fresh kabisa Marafiki.com - making friends has never been so easy... sasa tatizo linakuja kwny button au place unapoclick kuingia chatroom... ni kwamba walikuwa wana domain name mbili Darchat.com na Welcome To Marafiki.com | Karibu Marafiki.com sasa iyo link ya kuanza ikaisha muda wake wa kulipia na ime expire but the second one works fine sasa tatizo ni kwamba kwenye HOMPAGE imelinkiwa link ya kuanza iliyo expire sasa since last year mpaka leo hawaja fix apo au kuapdate iyo link ata kusema labda wameshindwa lipia iyo link ya kuanza sasa kwanini wasi update hompage na kulink link ya pili ambayo ndo inakudirect moja kwa moja kwenye chatroom?... kweli this is insanity au labda kuna sababu zingine coz kwa sasa iyo link ya pili wanao watu wachache sana so room kwa day anaingia mtu moja mara siku zingine hamna mtu kabisa... kwasababu watu wanafungua homepage na wakiclick kuingia chatroom wana kuwa redirected kwenye page inawaombia kuwa imexpire.
stineriga JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 2,172 Reaction score 892 Jun 6, 2013 #2 wamiliki wa mtandao ni akina nani kweli?
T Trance M Senior Member Joined Jan 27, 2013 Posts 183 Reaction score 37 Jun 6, 2013 #3 Ni lazima wafunge ili kuendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia. Siku hizi huwezi kupoteza mda unachat kupitia marafiki.com, watu wengi ni Facebook, twitter, whatsapp, instagram, BBM nk
Ni lazima wafunge ili kuendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia. Siku hizi huwezi kupoteza mda unachat kupitia marafiki.com, watu wengi ni Facebook, twitter, whatsapp, instagram, BBM nk
Comi JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 3,328 Reaction score 958 Nov 19, 2016 #4 Umenikumbusha mbali sana. Hivi hakuna site ya kitanzania ambayo ina live chart kama ile pamoja na darhotwire
Umenikumbusha mbali sana. Hivi hakuna site ya kitanzania ambayo ina live chart kama ile pamoja na darhotwire