Elections 2010 What happened to Kawe and Ubungo Results?

Caren

JF-Expert Member
Feb 12, 2010
278
91
Wandungu,
Jana nilikuwa natazama TV nikaona Jaji Makame anataka kutangaza matokeo ya Jimbo la Ubungo halafu alipogundua kuwa ni yale yaliyochakachuliwa akaacha maana Slaa alishinda (na alipeleka ushahidi wa barua asubuhi) lakini yaliyoko tume inaonekana JK kashinda.

Sasa Tume imetangaza shughuli ya kutangaza imeisha na Ubungo na Kawe bado tunafanyaje?

Nimeingia kwenye website ya Tume saa 3 asubuhi leo lakini pia hayapo? Yamechakachuliwa au?

Nisaidieni wenye ufahamu.
 
Back
Top Bottom