lara 1 a.k.a kubwa la maadui, you are so funny gal!!! lakini watu wengine mnajua tu kuandika saana na kuwa charm thru kii-bodi lakini ukikutana naye, utafikiri sio yeye haongei anakuwa mdogo kama Asprin alisemaga Nicas Mtei! sasa sijui na wewe uko charm for real au charm wa kujificha tu kwenye kii-bodi, au upo funny gal for really kama Madame B!
Sizitaki mbichi hizi...
Ndo kusema Madame B Umemuona for REAL AU?!!!!!!!!!!! Mimi ukiniona utashindwa kudefferentiate au kuintergrate, unaweza jikuta unafanya logarithims na antilog kwa mpigo hupati hata logic solution, na funtion huioni!!!!!! Jiangalie kama sijakuprogram Linearly na kuku Cirlce!!!!!!!!!!!
nilichokuwa nataka sema unaongea sana kwa ku-type right there thru the keyboard , sasa sijui uongeaji huo ni kweli wewe ni muongeaji hata face-face au ndio tukikutana unaingiza kichwa uvunguni , una-kanyaga kanyaga mchanga na kuiishia kuvila vidole vyako, kuangalia chini , kuangalia pembeni full aibu, no talking and turn to be a very a boring gwal na sio tena yule lara 1 wa kwenye key-board!!!
UOGAAAAAAA!!!!!!!!!!!1 Come on!!!!!!!!! Mimi IM VERY COMFIDENT!!!!!!!!!!!! Hadi nikuogope sijuiiii!!!!!!!!! May sababu its part of my job kuongea na strangers!!!!!! Mimi mkavu sanaa wewe!!!!!!!!!!!
Hahahaaaaaa! You are obsessed with Lara 1!!!!!!!!!!! Umejitahidi usipitee YOU COULDNT RESIST!!!!!!!!!! Unalo babu!!!!!! Limekuganda!!!!!!!!!!!
(I DIDNT KISS ANYBODYS AS* KWA KUMUOMBA FLANI PLEASE PLEASE NIPIGIE!!!!!!!!! NOP!!!! So msijishaue sanaaa hamjanipigia koz sikuwaomba personally!)
JIWE LILITUPWA KIZANI LIKAKUPATA USAWA WA PAJI LA USO!!!!!!!!!!!! Haloooooooooooo!!!!!!!!!
Blah blah blah!
Kissing one's ass for the sake of vote is just a stratergy bibie, ni ubunifu tu kama ambavyo wewe uliita La Familia ukasahau kuwa wazazi wenu walizinduka na nyota ya kijani mkajikuta mko waduchuuuh!
Ncheke nnenepe mie Ibn Lethsholonyane wa Mofokeng...
Eboh?
Nisipite foram waimiliki wewe? Neither am I obsessed to anyone, sembuse wewe kubwa la maadui ambaye mwisho wa picha lazima ufe no matter what...
Astaghafirulah laadhim, it was your words which suggest what I've just said, na si kingine. Kwanza niko mobile hata avatar zenu sizioni na isitoshe post zenu sijaziona.
Chefuuuu!