What Does it Mean?

Huyo muarabu ndo kamaliza kila kitu. Nimeipenda hii cartoon.
 
What Does it Mean ( Kilimo kwanza inahusika hapa!!)?Mkuu Xuma

MziziMkavu Kama kwako vyote umeweka kando ila tu kilimo sasa kwa nini uulize swali ka hilo au Tz not Africa??
 
MziziMkavu Kama kwako vyote umeweka kando ila tu kilimo sasa kwa nini uulize swali ka hilo au Tz not Africa??
Mkuu Xuma kilimo kwetu hapo Tanzania hakiwezi kutoondowa katka Umasikini ni maneno ya waongo ya wana siasa tu mkuu amka wewe.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…