Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,731
- 107,177
Hapana hiyo ni tukio la kitaifa ndo maana hata Uhuruto hawajavaa sare za jubileeWangekuja ingekuwa kama kumpigia kampeni UK
Sio kweli. Labda kwa nyinyi mnaopenda kushindana. Mimi hainisumbui kwa sababu hainisaidii, not only in Kenya hata ingejengwa Tanzania bado haisaidii kuniingizia pesa mfukoni if I don't work hard...kenya forum hakukaliki Leo...kila mtz anapoingia anakutana na launch ya sgr anatoka mbio kwenda kujiliwaza na picha ya bullet train....sema kula ugali kwa harufu ya kuku.hehee
kenya forum hakukaliki Leo...kila mtz anapoingia anakutana na launch ya sgr anatoka mbio kwenda kujiliwaza na picha ya bullet train....sema kula ugali kwa harufu ya kuku.hehee
Mbona hujibu absence ya COW [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kenya forum hakukaliki Leo...kila mtz anapoingia anakutana na launch ya sgr anatoka mbio kwenda kujiliwaza na picha ya bullet train....sema kula ugali kwa harufu ya kuku.hehee
what's the big deal apa?Uganda na Rwanda bado wanajenga reli itakayoungana na Kenya....naona mnatafuta pa kutokea kwa nguvu.kuna jamaa wenu mmoja Kenya ikitumbukiza na kutoa nanyi mwatumbukiza...haya tunangoja yenu sasaMbona hujibu absence ya COW [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Au walifunguliwa mapema wakaenda kula nyasi[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Stop hiding in the umbrella of "The big deal"what's the big deal apa?Uganda na Rwanda bado wanajenga reli itakayoungana na Kenya....naona mnatafuta pa kutokea kwa nguvu.kuna jamaa wenu mmoja Kenya ikitumbukiza na kutoa nanyi mwatumbukiza...haya tunangoja yenu sasa
Mbona hujibu absence ya COW [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Au walifunguliwa mapema wakaenda kula nyasi[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hapa naona unaajificha kwenye kichaka na kukwepa hoja! Mtu kama wewe kulia kwetu kama hao watu wangekuja kungekusaidia nini?Wangekuja mngelia sana, bora hivyo ilivyo kwamba reli ni yetu na itaishia mpakani mwa Kenya na Uganda. Hela zimepatikana na ujenzi umeanza wa kufanikisha safu iliyobaki. Huku Mchina akijiandaa kuileta barabara ya dunia iunge kwenye LAPPSET.
Halafu Uganda alishapewa mojawapo wa vigezo muhimu kwake yeye kupata hela za Mchina lazima baba wa EAC Kenya aridhie.
Vipi kwenu huko naskia mnamfuata hadi Zuma akawatafutie mkopo wa kujenga reli, kila rais akija mnampa kibakuli cha kuomba omba, huyo Zuma mnayemtegemea huwaza mambo ya kuoa wake wengi na kujenga nyumba zake, sasa hayo ya reli mnamhangaisha akili.
Haya mambo hufanywa na watu wa ligi ya juu sio huo ukurupukaji wenu.
kenya forum hakukaliki Leo...kila mtz anapoingia anakutana na launch ya sgr anatoka mbio kwenda kujiliwaza na picha ya bullet train....sema kula ugali kwa harufu ya kuku.hehee
Sio kweli. Labda kwa nyinyi mnaopenda kushindana. Mimi hainisumbui kwa sababu hainisaidii, not only in Kenya hata ingejengwa Tanzania bado haisaidii kuniingizia pesa mfukoni if I don't work hard...
Alisema nani? Hebu acha ujuha wewe wa kufananisha watu ovyo. Ulishawahi kuniona nabishana ovyo kama mjinga? Ukifanya jambo zuri nakusifia lakini ukifanya blunder nakuponda... period!...Acha kujitetea, mlisema mengi ya madharau kuhusu mradi huu, na kutumai ya kwamba ingekuwa white elephant, lakini wapi?
Hapa naona unaajificha kwenye kichaka na kukwepa hoja! Mtu kama wewe kulia kwetu kama hao watu wangekuja kungekusaidia nini?
Haya hawajaja na silii, sasa tujadili kwa nini hawapo?
Ukitaka haya ya huku kwetu fungua uzi tukujibu badala ya kuibua hoja mpya ili kudhoofisha hoja ya awali!
Wewe nadhani ndo unataka kuleta ushabiki, hiyo ni hoja ya kawaida kabisa ambayo ikitolewa majibu kila mtu ataelewa!Hii hoja mumeileta kiushabiki kwa kusema Uhuru ametelekezwa, hivyo mnajibiwa kiushabiki, inategemea na unavyopanga hoja yako, utajibiwa vivyo hivyo na kuongezewa matapishi zaidi. Kulia lia kwenu hakungenisaidia, ningeishia kuwacheka pembeni halafu niendelee na maisha.
Ninachojua ni kwamba Museven na Kagame walishazindua ujenzi wa reli, hivyo hawawezi kuja kukenua meno kwenye kila hatua. Ikumbukwe leo hii Uhuru yupo kwenye kampeni hivyo anatumia uzinduzi huu kisiasa zaidi ya kawaida, amesafiri leo kwa gari lenyewe na anashuka kila kituo kikuu kuhutubia wananchi na kuomba kura, nimefuatilia yupo kikampeni kabisa, sasa sioni jinsi Museveni na Kagame wangeburuzana naye kwa shuguli yote hiyo.