What do you see??

Hizo ni mashua zimeongozana japo kwa haraka unaweza zania ni daraja
 
Daraja lenye uwazi kwa chini unaofanana na madirisha? Mkuu Bulldog eti hicho kitufe cha kutoa likes kwako hakifanyi kazi? au huwa hukioni Mkuu ni aje banaaa? Nauliza tu maana uwiano wa ulizopewa na ulizotoa hauendani kabisa.

Good day πŸ™‚πŸ™‚

 
Last edited by a moderator:

Huwa nakiona mkuu, ila ndo hivyo nasahau, nakumbuka baada ya kuexit page
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…