HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
..... Swali langu kwa wana JF wanaume wanapenda mwanamke watabia gani, player anaepretend he is the only one, au anaesema I have a true love so don't break my heart, please mawazo yako ni muhimu nitaelewa what is this world of love all about and I will take it from hapo.
Bahati mbaya sana, haya mambo hayana formula na mbaya zaidi mtu ambaye wewe unampenda sana na yeye hakupendi hana alama yoyote ya kukufanya ujue hivyo kama ataamua kupretend kuwa anakupenda ...! Lakini siku zote, mahusiano ya karibu kwa muda mrefu kiasi yanaweza kuja kufichua mambo kama haya yako na mi naona umekuwa na bahati kuligundua hilo mapema kabla haujafanya commentment kubwa zaidi .....
hiyo ngoma hukuicheza kike mdogo wangu,u offer everthing!hukumuacha huyo mwanaume awe mwanaume,uliamua kutake hiyo role wewe!mwanaume hataki kuwa challenged(ulianza wewe kumwambia unampenda TO A MAN THATS CHALLENGE)
ulianza kumuonyesha interest na kumpa namba(for a man thats another challenge)
ulikuwa unashare nae bill cost(again thts a big challenge)
ukaharibu kabisa ulipomdiscourage na swala la ndoa(ulicement ukweli kuwa hawezi kukuweka chini yake)
SO BY DOING THAT U LET HIM GO URSELF
na hii ni kwa mabinti wote acheni kuplay role za wanaume kwenye mahusiano yenu hizi ndoa na ideal men mtazidi kuwaona kwenye series tu!
we want to be in control and in charge
ulitaka kuongea exactly nilichotaka kusema hasa la mwisho
nikaona uvivu
yaani haya mahusiano huyu dada ndo yuko in charge
na hampi nafasi mwanaume awe mwanaume
sasa alipomwambia sio lazima kuoana,jamaa akatafsiri
'siko ready kuwa mkeo,nakuangalia tu kwanza' lol
kidume kikaona ya kazi gani,wakati kuna wengine nikiwaambia
nikuoe wanaandaa mdundiko kabisa...lol
halafu wakiolewa mwanaume akiwa halipi kodi wala da za watt wanakimbilia kusema nimeolewa na mume suruali,kumbe ye mwnyewe kaanzisha,hivi ni kweli jamii inahitaji zile informal education kiasi hiki?sikujua i see
we want to be in control and in charge
Kaka asulo kusema Kweli ku do is just a dream thing, coz we are both so busy....Kama humpendi mtu siunasema sikupendi, ila ukimuuliza unnipenda atakujibu yes I do, then why do u have someone Ohh anajibu haijielewi kwanini, what kind of a man is that. Naukimwambia Haya nimeambua ku give up, can't be u, anakwambia it's u I love, utasema nini hapo
You know what is your Problem?, the way u approached him. ulienda mzima mzima, watu wengine hawapendi kuoa majibu yenye kukatisha tamaa.na wakati mwingine si vizuri kuonyesha kwamba we ndio mwenyeshida sana na kitu, japo kinyume chake ndio ukweli halisi.
pole sana, funga buti na piga ajua yaanni anza moja.