Baija Bolobi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 1,093
- 1,737
Mkuu kichwa cha Mada ni Kingereza na maelezo Kiswahili. Wacha nijaribu kujibu niwezavyo.Wasomi wa Sayansi ya Siasa wanaweza kutuelimisha juu ya kashfa ya Watergate miaka ya 1970 huko Marekani. Ofisi ya chama cha Democratic ilivunjwa na nyaraka kuibiwa. Ofisi hizo zilikuwa katika hotel iliyoitwa Watergate.
Bunge liliunda tume ya uchunguzi na ikakutana na vikwazo mbalimbali kutoka kwa serikali iliyoongozwa na Rais Richard Nixon. Watendaji wa serikali waliwaangaisha sana wajumbe wa tume na kuwanyima ushirikiano.
Hatimaye suala zima lilipofikishwa mbele ya Seneti, swali kuu lilikuwa ni :RAIS NIXON ALIJUA NINI KUHUSU UVUNJAJI HUO, NA ALIUJUA LINI? Majibu yaliyotolewa bila kupima, yaliashiria kuwa Rais alijua na alishiriki katika mpango wa kuvunja ofisi hiyo ili kuiba nyaraka na hatimaye kuanzisha vitisho dhidi ya wabunge walioonekana ni wapinzani kwa serikali yake. Kabla ya seneti haijapiga kura ya kukosa imani naye (Impeachment), Rais Nixon alijiuzuru akiwa na miaka miwili ofisini.
Je kuna mfanano kati ya Watergate na hiki kinachoendelea nchini kwetu? Je rais wetu JPM anajua kuwa kumekuwa na utekaji na vitisho kwa wabunge na mtuhumiwa mkuu ni idara nyeti iliyo chini yake? Je kama anajua, amejua lini? Na kama anajua amechukua hatua gani? Kama hajui na hakushiriki katika mpango huo mchafu, amechukua hatua gani?
Kama anajua, ni vema akachukua haraka hatua stahiki zinazolingana na uzito wa tatizo hili kwa yeye kushiriki katika jambo zito na chafu namna hii. Kama hajui, basi achukue hatua za kuwawajibisha IGP, DGI na mawaziri wao. Kwa nini? Kwa kusababisha yeye aeleweke vibaya na idara nyeti isemwe katika namna inayoiondolea heshima yake. Msingi wa utendaji wa idara hii huwa ni kuaminika na uadilifu wake - si usiri wake tu.
Wakati wa utawala wa Bill Clinton kulikuwa na kashfa ya Monica Lewisky. Mwendesha mashtaka maalum Keneth Starr aliwaita walinzi wa Rais (secret service) kuja mbele yake kuhojiwa kwa kiapo. Baadhi yao waliapa na kujiuzuru kumlinda Rais baada ya kuapa kwa sababu, baada ya kuapa na kulazimika kusema siri za Rais wasingeweza kuaminika tena hata kama yeye angewaamini.
Kitendo cha kusikika tu, kuwa walinzi wa rais wetu, wanahusishwa na vitendo vya jinai (kuteka, kutesa, kuvamia studio, kutisha watu, tena watunga sheria), wanautia usalama wa rais wetu mashakani sana. Usalama wa rais ni usalama wa nchi. Tusifanye mchezo katika suala hili.
Mimi nalazimika kupendekeza, hata kama kuna kutia chumvi katika suala hili; kwa kuwa kuna mazingira yanayoashiria hali hiyo ya kuhusika kwa kikosi hiki, hatua kubwa na za wazi zichukuliwe kurudisha heshima na imani juu ya taasisi yetu ya urais na ile nyingine ninayoiheshimu sana hata kuitaja jina nasita.
naomba kdoogo ni iweke sawa, Rekodi hazioneshi kuwa Rais Nixon alijua kuwa wizi una enda kufanyika wala hakuagiza isipo kuwa, kosa lake ni kuwa alipogundua watu walio chini yake ndio walifanya tukio hilo yeye, ali wafanyia cover up, aka wapa na hela wavamizi wale wasitoe siri (hush money) na akafukuza mtu yeyote aliye kataa kushiriki kuwasafisha pia akajaribu kuvizuia vyombo vya upelelezi visendelee na kaziWasomi wa Sayansi ya Siasa wanaweza kutuelimisha juu ya kashfa ya Watergate miaka ya 1970 huko Marekani. Ofisi ya chama cha Democratic ilivunjwa na nyaraka kuibiwa. Ofisi hizo zilikuwa katika hotel iliyoitwa Watergate.
Bunge liliunda tume ya uchunguzi na ikakutana na vikwazo mbalimbali kutoka kwa serikali iliyoongozwa na Rais Richard Nixon. Watendaji wa serikali waliwaangaisha sana wajumbe wa tume na kuwanyima ushirikiano.
Hatimaye suala zima lilipofikishwa mbele ya Seneti, swali kuu lilikuwa ni :RAIS NIXON ALIJUA NINI KUHUSU UVUNJAJI HUO, NA ALIUJUA LINI? Majibu yaliyotolewa bila kupima, yaliashiria kuwa Rais alijua na alishiriki katika mpango wa kuvunja ofisi hiyo ili kuiba nyaraka na hatimaye kuanzisha vitisho dhidi ya wabunge walioonekana ni wapinzani kwa serikali yake. Kabla ya seneti haijapiga kura ya kukosa imani naye (Impeachment), Rais Nixon alijiuzuru akiwa na miaka miwili ofisini
head English. body Swahili. just wondering what language would be used to conclude???Wasomi wa Sayansi ya Siasa wanaweza kutuelimisha juu ya kashfa ya Watergate miaka ya 1970 huko Marekani. Ofisi ya chama cha Democratic ilivunjwa na nyaraka kuibiwa. Ofisi hizo zilikuwa katika hotel iliyoitwa Watergate.
Bunge liliunda tume ya uchunguzi na ikakutana na vikwazo mbalimbali kutoka kwa serikali iliyoongozwa na Rais Richard Nixon. Watendaji wa serikali waliwaangaisha sana wajumbe wa tume na kuwanyima ushirikiano.
Hatimaye suala zima lilipofikishwa mbele ya Seneti, swali kuu lilikuwa ni :RAIS NIXON ALIJUA NINI KUHUSU UVUNJAJI HUO, NA ALIUJUA LINI? Majibu yaliyotolewa bila kupima, yaliashiria kuwa Rais alijua na alishiriki katika mpango wa kuvunja ofisi hiyo ili kuiba nyaraka na hatimaye kuanzisha vitisho dhidi ya wabunge walioonekana ni wapinzani kwa serikali yake. Kabla ya seneti haijapiga kura ya kukosa imani naye (Impeachment), Rais Nixon alijiuzuru akiwa na miaka miwili ofisini.
Je kuna mfanano kati ya Watergate na hiki kinachoendelea nchini kwetu? Je rais wetu JPM anajua kuwa kumekuwa na utekaji na vitisho kwa wabunge na mtuhumiwa mkuu ni idara nyeti iliyo chini yake? Je kama anajua, amejua lini? Na kama anajua amechukua hatua gani? Kama hajui na hakushiriki katika mpango huo mchafu, amechukua hatua gani?
Kama anajua, ni vema akachukua haraka hatua stahiki zinazolingana na uzito wa tatizo hili kwa yeye kushiriki katika jambo zito na chafu namna hii. Kama hajui, basi achukue hatua za kuwawajibisha IGP, DGI na mawaziri wao. Kwa nini? Kwa kusababisha yeye aeleweke vibaya na idara nyeti isemwe katika namna inayoiondolea heshima yake. Msingi wa utendaji wa idara hii huwa ni kuaminika na uadilifu wake - si usiri wake tu.
Wakati wa utawala wa Bill Clinton kulikuwa na kashfa ya Monica Lewisky. Mwendesha mashtaka maalum Keneth Starr aliwaita walinzi wa Rais (secret service) kuja mbele yake kuhojiwa kwa kiapo. Baadhi yao waliapa na kujiuzuru kumlinda Rais baada ya kuapa kwa sababu, baada ya kuapa na kulazimika kusema siri za Rais wasingeweza kuaminika tena hata kama yeye angewaamini.
Kitendo cha kusikika tu, kuwa walinzi wa rais wetu, wanahusishwa na vitendo vya jinai (kuteka, kutesa, kuvamia studio, kutisha watu, tena watunga sheria), wanautia usalama wa rais wetu mashakani sana. Usalama wa rais ni usalama wa nchi. Tusifanye mchezo katika suala hili.
Mimi nalazimika kupendekeza, hata kama kuna kutia chumvi katika suala hili; kwa kuwa kuna mazingira yanayoashiria hali hiyo ya kuhusika kwa kikosi hiki, hatua kubwa na za wazi zichukuliwe kurudisha heshima na imani juu ya taasisi yetu ya urais na ile nyingine ninayoiheshimu sana hata kuitaja jina nasita.
Wasomi wa Sayansi ya Siasa wanaweza kutuelimisha juu ya kashfa ya Watergate miaka ya 1970 huko Marekani. Ofisi ya chama cha Democratic ilivunjwa na nyaraka kuibiwa. Ofisi hizo zilikuwa katika hotel iliyoitwa Watergate.

Mkuu Baija Balobi, asante kwa kisa hiki.Wasomi wa Sayansi ya Siasa wanaweza kutuelimisha juu ya kashfa ya Watergate miaka ya 1970 huko Marekani. Ofisi ya chama cha Democratic ilivunjwa na nyaraka kuibiwa. Ofisi hizo zilikuwa katika hotel iliyoitwa Watergate.
Bunge liliunda tume ya uchunguzi na ikakutana na vikwazo mbalimbali kutoka kwa serikali iliyoongozwa na Rais Richard Nixon. Watendaji wa serikali waliwaangaisha sana wajumbe wa tume na kuwanyima ushirikiano.
Hatimaye suala zima lilipofikishwa mbele ya Seneti, swali kuu lilikuwa ni :RAIS NIXON ALIJUA NINI KUHUSU UVUNJAJI HUO, NA ALIUJUA LINI? Majibu yaliyotolewa bila kupima, yaliashiria kuwa Rais alijua na alishiriki katika mpango wa kuvunja ofisi hiyo ili kuiba nyaraka na hatimaye kuanzisha vitisho dhidi ya wabunge walioonekana ni wapinzani kwa serikali yake. Kabla ya seneti haijapiga kura ya kukosa imani naye (Impeachment), Rais Nixon alijiuzuru akiwa na miaka miwili ofisini.
Je kuna mfanano kati ya Watergate na hiki kinachoendelea nchini kwetu? Je rais wetu JPM anajua kuwa kumekuwa na utekaji na vitisho kwa wabunge na mtuhumiwa mkuu ni idara nyeti iliyo chini yake? Je kama anajua, amejua lini? Na kama anajua amechukua hatua gani? Kama hajui na hakushiriki katika mpango huo mchafu, amechukua hatua gani?
Kama anajua, ni vema akachukua haraka hatua stahiki zinazolingana na uzito wa tatizo hili kwa yeye kushiriki katika jambo zito na chafu namna hii. Kama hajui, basi achukue hatua za kuwawajibisha IGP, DGI na mawaziri wao. Kwa nini? Kwa kusababisha yeye aeleweke vibaya na idara nyeti isemwe katika namna inayoiondolea heshima yake. Msingi wa utendaji wa idara hii huwa ni kuaminika na uadilifu wake - si usiri wake tu.
Wakati wa utawala wa Bill Clinton kulikuwa na kashfa ya Monica Lewisky. Mwendesha mashtaka maalum Keneth Starr aliwaita walinzi wa Rais (secret service) kuja mbele yake kuhojiwa kwa kiapo. Baadhi yao waliapa na kujiuzuru kumlinda Rais baada ya kuapa kwa sababu, baada ya kuapa na kulazimika kusema siri za Rais wasingeweza kuaminika tena hata kama yeye angewaamini.
Kitendo cha kusikika tu, kuwa walinzi wa rais wetu, wanahusishwa na vitendo vya jinai (kuteka, kutesa, kuvamia studio, kutisha watu, tena watunga sheria), wanautia usalama wa rais wetu mashakani sana. Usalama wa rais ni usalama wa nchi. Tusifanye mchezo katika suala hili.
Mimi nalazimika kupendekeza, hata kama kuna kutia chumvi katika suala hili; kwa kuwa kuna mazingira yanayoashiria hali hiyo ya kuhusika kwa kikosi hiki, hatua kubwa na za wazi zichukuliwe kurudisha heshima na imani juu ya taasisi yetu ya urais na ile nyingine ninayoiheshimu sana hata kuitaja jina nasita.
Mkuu kichwa cha Mada ni Kingereza na maelezo Kiswahili. Wacha nijaribu kujibu niwezavyo.
1. Hoja yako ni ya MSINGI kabisa. Why can't you book an appointment with President Magufuli. I hope you could be lucky to be given an audience.
Then present to him all of your questions and grievances you have. He is the ONLY one who is well placed to answer your question and all of your queries you might be having about ALL these.
Ask him whether HE KNOWS something about this or has been in the picture of what is happening in the country.
Then Come back to us in JF and let us know what transpired between you and Magufuli.
Otherwise wengine sisi ni raia wa kawaida .
And we might not be of any help to your BURNING questions and concern.
Nakutakia mafanikio unatakapofika getini Magogoni.
======Mkuu Baija Balobi, asante kwa kisa hiki.
Kashfa ya Water gate ndio modal ya somo la IJ (Investigative Journalism ) kwenye vyuo vya uandishi wa habari. Kashfa hii iliibuliwa na mwandishi wa habari wa gazeti la The Washington Post kutokana na tip kutoka kwa a secret source aliyemuita jina la bandia la "deep throat".
Gazeti la Washington Post liliporipoti, serikali ya rais Nixon wa Marekani ikamshitaki mhariri wa Washington Post kuwa taarifa hiyo ni uzushi na uongo, hivyo kumtaka mhariri huyo amtaje mwandishi na source wake, mhariri akagoma na kufungwa jela.
Somo tunalopata hapa ni kitu kinachoitwa "the confidentiality of the source " yaani mhariri kukubali kwenda jela kumlinda mwandishi wake na source wake.
Mhariri msaidizi akaendeleza mapambano, mapambano ukahamia Bungeni ikaja kithibitishwa ni kweli rais alijua hivyo there was no way out rais Richard Nixson akaachia ngazi kwa aibu.
Hiki kinachotokea Bungeni kuhusiana na Bashite, Tiss na Kamati teule ya Bunge kikifanyika, ikithibitika Magufuli alijua, then yeye na Bashite wake must go!.
Very unfortunately kwenye nchi za kiafrika zenye siasa za njaa, hili haliwezi kufanyika!. Spika Job Ndugai hakuna kitu kabisa pale!.
Wale makirikiri wa Bashite ni Tiss na wanapokea command 2 tuu, ya CDF or Director wa TISS, kwa jinsi movie yenyewe ilivyo igizwa kijinga, na kipuuzi, huyu hawezi kuwa ni DG wa Tiss bali ni yule mwingine na wala usikute sio yule bali ni yule mpuuzi, kutokana na ukaribu na mwenye amri, mpuuzi yule akatoa amri, hivyo kitendo cha mwenye amri kumlinda mpuuzi huyu ni uthibitisho tosha kuwa alifahamu.
Kamati teule haiwezi kuundwa na Zitto na Bashe watakuwa compromised kwa ile formula ya "penye uzia..." kisha watayamaliza kimya kimya!.
Paskali
Waandishi jasiri?!. Not in Tanzania now, sijui Waandishi wangapi hata wanajua lilipo kaburi la Stan Katabalo!.======
Paskali umeongea vizuri. Watergate scandal ni event inayofaa fani nyingi mfano, Invetsigative Journalism, Political Science, Constitutionalism, Intelligence Management na Presidency.
Kwa maoni yangu, Kinachoendelea hivi sasa hapa nchini, hakina tofauti na Watergate. Suala la utekaji linachukua sura mpya kila siku na kila hatua.
Juzi na jana, polisi walikuwa wanakana kuwa hawajui lolote na kwamba Roma Mkatoliki hakuwa katika kituo chochote cha polisi. Lakini leo (Jumatano), nimemwona Waziri Kairuki, kwa uangalifu akikiri kuwa utekaji upo, umefanyika na unalinwa na sheria na katiba. Amesema kwamba ile taasisi nyeti inaruhusiwa kukamata, kuhoji na kushirikisha vyombo vingine ili kukusanya habari zinazohusu usalama wa nchi. Ninahisi, kukiri kwa Waziri Kairuki kunatokana na sababu mbili:
1. Roma amekiri hadharani kuwa alitekwa na akasita kutaja waliomteka ni kina nani
2. Kikao cha wabunge wa CCM kimetoa onyo na kuagiza wabunge kuitetea serikali dhidi ya
tuhuma hizi. Kama serikali haikufanya, isingeweza kuwashinikiza wabunge wake kuitetea.
Paskali, wanahitajika waandishi jasiri kuandika mambo haya. Watakamatwa, watateswa lakini mwisho wa siku, watashinda. Sasa wana uhakika kuwa jambo hili lilitokea na wakubwa walilijua na kuridhia lifanyike.
---/Baija
...
Kamati teule haiwezi kuundwa na Zitto na Bashe watakuwa compromised kwa ile formula ya "penye uzia..." kisha watayamaliza kimya kimya!.
Paskali
Lowasa hachomokiNext election, afya ya akili iwe kigezo muhimu cha kumpata rais