mambomengi
JF-Expert Member
- May 16, 2009
- 829
- 242
In a farewell bid to Mr. President here's what he said, copied from IPP Media,
"Tanzania Building Agency (TBA) also under Dr Magufulis custodianship revealed to have built 1,732 staff houses and that 7,000 have been sold to the public in the past 10 years."
Good job Dr. Magufuli for bringing a deficit of nearly 5,300 staff houses to the government of URT. We are missing details of How much was spent in that project, though.
Magufuli arudishe nyumba za serikali alizoziuza kwa bei ya kutupa,,huu ni ufisadi wa hali ya juu..
Huwezi kumsema Magufuli ukamuweka Pembeni Edward Lowasa kwani wote walikuwa Mawaziri na hilo ili lipite lilipata baraka za Balaza hilo. Huwezi fanya mwenyewe. Walipitisha yeye katumwa akatekeleze. Ona mbali. Ndiyo maana sisi tunasema, tumekosea sana kumpa EL hii nafasi maana hatuna haki ya kumsema mtu yeyote ndani ya CCM kwa kuwa wa kwetu ndo wale wale tena na ziada. Ukimlinganisha na Magufili basi Magufuli ni malaika mtakatifu maana hana kashfa.

Kwa hiyo Magufuli aliamka asubuhi akasema nyumba ziuzwe? Huu ulikuwa nimuamuzi wa Serikali nzima kupitia Baraza la Mawaziri akiwemo EL. Pia Waziri Mkuu Mstaafu, bwana FT Sumaye alilieleza hili jambo vizuri sana. Alisema aliyeagiza nyumba ziuzwe kwa watumishi wa umma ni Ben Mkapa baada ya nyumba zinauzwa kwa mnada na zinanunuliwa na wahindi na wageni wengine pamoja na mafisadi. Aliona hatari kwamba maeneo yale yatakuja kukaliwa na wageni ndio maana akasema wauziwe watumishi.Wizara aliyoisimamia Magufuli ndio iliuza nyumba za serikali..
Nawahurumia wale waliozinunua kwa hasara ya kuzikarabati watakayopata maana Ukawa ilishatuahidi ikikamata dola itazirudisha serikalini. Hilo halina ubishi.