What a record, Dr. Magufuli!

What a record, Dr. Magufuli!

mambomengi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2009
Posts
829
Reaction score
242
In a farewell bid to Mr. President here's what he said, copied from IPP Media,

"Tanzania Building Agency (TBA) also under Dr Magufuli’s custodianship revealed to have built 1,732 staff houses and that 7,000 have been sold to the public in the past 10 years."

Good job Dr. Magufuli for bringing a deficit of nearly 5,300 staff houses to the government of URT. We are missing details of How much was spent in that project, though.
 
Magufuli arudishe nyumba za serikali alizoziuza kwa bei ya kutupa,,huu ni ufisadi wa hali ya juu..
 
Leo ma DC wanaishi mahotelini kwa bei mbaya !Nyumba za serikali Bw. Magufuli kauza. Tumpe urais tumelogwa!!!!!
 
In a farewell bid to Mr. President here's what he said, copied from IPP Media,

"Tanzania Building Agency (TBA) also under Dr Magufuli’s custodianship revealed to have built 1,732 staff houses and that 7,000 have been sold to the public in the past 10 years."

Good job Dr. Magufuli for bringing a deficit of nearly 5,300 staff houses to the government of URT. We are missing details of How much was spent in that project, though.

Magufuli arudishe nyumba za serikali alizoziuza kwa bei ya kutupa,,huu ni ufisadi wa hali ya juu..

Nyie kima mbona hii video huwa hamtaki kuijadili? Au mnafunga macho na kuziba masikio nyie fisimaji?
https://youtu.be/LofQGOS0bCM
 
Huwezi kumsema Magufuli ukamuweka Pembeni Edward Lowasa kwani wote walikuwa Mawaziri na hilo ili lipite lilipata baraka za Balaza hilo. Huwezi fanya mwenyewe. Walipitisha yeye katumwa akatekeleze. Ona mbali. Ndiyo maana sisi tunasema, tumekosea sana kumpa EL hii nafasi maana hatuna haki ya kumsema mtu yeyote ndani ya CCM kwa kuwa wa kwetu ndo wale wale tena na ziada. Ukimlinganisha na Magufili basi Magufuli ni malaika mtakatifu maana hana kashfa.
 
Hiyo video haijselezea kuwa wale waliouziwa wakiwa si wafanyakazi wa serikali na waliokuwa hawaishi ndani ya baadhi ya nyumba walizonunua inakuwaje? Na waziri wakati anauza aliahidi kujenga zingine,ila mpaka leo hazijajengwa
 
Huwezi kumsema Magufuli ukamuweka Pembeni Edward Lowasa kwani wote walikuwa Mawaziri na hilo ili lipite lilipata baraka za Balaza hilo. Huwezi fanya mwenyewe. Walipitisha yeye katumwa akatekeleze. Ona mbali. Ndiyo maana sisi tunasema, tumekosea sana kumpa EL hii nafasi maana hatuna haki ya kumsema mtu yeyote ndani ya CCM kwa kuwa wa kwetu ndo wale wale tena na ziada. Ukimlinganisha na Magufili basi Magufuli ni malaika mtakatifu maana hana kashfa.

Wizara aliyoisimamia Magufuli ndio iliuza nyumba za serikali..
 
Nawahurumia wale waliozinunua kwa hasara ya kuzikarabati watakayopata maana Ukawa ilishatuahidi ikikamata dola itazirudisha serikalini. Hilo halina ubishi.
 
Hakuna jiwe litaachwa bila kukuguswa. Nyumba zote zirudi kwa government kwa umma
 
Hivi mgombea wa urais wa CCM ndugu Magufuli yuko wapi? Last time nilimuona kwenye clip moja akipiga ngoma.
 
Magufuli aende zake maana El magogoni bila kipingamizi
 
Huwezi kumsema Magufuli ukamuweka Pembeni Edward Lowasa kwani wote walikuwa Mawaziri na hilo ili lipite lilipata baraka za Balaza hilo. Huwezi fanya mwenyewe. Walipitisha yeye katumwa akatekeleze. Ona mbali. Ndiyo maana sisi tunasema, tumekosea sana kumpa EL hii nafasi maana hatuna haki ya kumsema mtu yeyote ndani ya CCM kwa kuwa wa kwetu ndo wale wale tena na ziada. Ukimlinganisha na Magufili basi Magufuli ni malaika mtakatifu maana hana kashfa.

Kama hukijui cha kuandika kaa kimya, unajua nyumba za serikali zimeuzwa lini na Lowasa alikuwa kwenye baraza la mawaziri?
 
Wizara aliyoisimamia Magufuli ndio iliuza nyumba za serikali..
Kwa hiyo Magufuli aliamka asubuhi akasema nyumba ziuzwe? Huu ulikuwa nimuamuzi wa Serikali nzima kupitia Baraza la Mawaziri akiwemo EL. Pia Waziri Mkuu Mstaafu, bwana FT Sumaye alilieleza hili jambo vizuri sana. Alisema aliyeagiza nyumba ziuzwe kwa watumishi wa umma ni Ben Mkapa baada ya nyumba zinauzwa kwa mnada na zinanunuliwa na wahindi na wageni wengine pamoja na mafisadi. Aliona hatari kwamba maeneo yale yatakuja kukaliwa na wageni ndio maana akasema wauziwe watumishi.

Kwa hiyo mlitaka ziendelee kuuzwa kwa wageni na mafisadi?
 
Nawahurumia wale waliozinunua kwa hasara ya kuzikarabati watakayopata maana Ukawa ilishatuahidi ikikamata dola itazirudisha serikalini. Hilo halina ubishi.

Dah,hii sidhani na hii mipango ilishakufa kumbuka kwa sasa lengo ni kuiondoa ccm,watarudishaje wakat waliouza ndo hao hao wamebeba dhamana ya Ukawa na ukawa washaambiwa "wapeleke ushahidi mahakaman na kama hawana washurt up",kwakwel ni sawa na kuota unajimeza
 
Back
Top Bottom