Wezi wa ng'ombe waua wanajeshi 42 nchini kenya........

Wezi wa ng'ombe waua wanajeshi 42 nchini kenya........

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956







Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv
Siku chache tu baada ya kuuawa kwa maafisa wa polisi 42 sasa imedhihirika kuwa waasi hao waliotekeleza mauaji hayo bado wamepiga kambi katika milima ya Suguta wakiwa na mifugo iliyoibiwa. KTN imebaini hadi tunapokuletea taarifa hii, hakuna maafisa wowote wa kulinda usalama waliotumwa katika mlima huo kukabiliana na makachinja hao. Baadhi ya familia za waathiriwa zinadai mauaji hayo ya jamaa zao yamezingirwa na propaganda nyingi




Ni hatari sana Wezi wanawauwa wanajeshi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom