Wengi wanashangaza sana hasa wale wanao towa tuhuma ya kuwa pesa zimeibwa zikaenda kwenye kampeni ya JK ya 2005, hivi kama msemayo ni kweli na ushahidi mnao, kwa nini msiende mahakamani? au ndio lazima mseme tu? Au hakuna ushahidi wa kutosha?
Jee, kuna sheria inayozuia raia yeyote kwenda kushitaki?
Dar Es Salaam, ahsante sana kwa majibu mazuri. mimi nakubaliana na wewe moja kwa moja, na nilishasema huko nyuma kuwa tunafanya mambo bila kuangalia hali halisi ya condition in dar.
wananchi ni lazima, i repeat ni lazima tuwe nyuma ya jk kwa sababu ni yeye peke yake ambaye a least amejaribu kucorrect the whole ufisadi issue. he is not perfect, but in this 2005-2010 he is the best we got.
jk ni president na ccm chairman which means he can pretty much do what he wants. we saw what mkapa did and no one could question him.
sasa mkitaka kumtuhumu jk kwa pesa zilizosaidia uchaguzi 2005 wakati mnajua kabisa kuwa waliohusika ni wengine even though jk alibenefit overall tutakuwa wajinga wa hali ya juu.
what happens kama jk akiona kwa nini apambane na mafisadi ambao ni asilimia kubwa ya watu wenye nguvu tz, wakati wananchi wenyewe wanaona na yeye ni fisadi, which is false//
jk ana vita kubwa and on this we have to support him 100 percent.
tusiwe tunatumia analog system wakati mambo ni digital siku hizi.
wataalam tuwekeeni cost/benefit analysis ili mprove kuwa lazima tuwe nyuma ya jk.
of course lazima tuendelee kuipush govt na jk wafanye more, but we have to use mossad tactics hapa ili mafahari wapigane na wananchi tupate nafasi. jk akicircle wagons around mafisadi we are finished.
we should play chess not checkers
my 2 cents