Wewe zaa nitamchukua mtoto!!

Ndo hao wanatuongezea mashoga sababu ya malezi ya mzazi mmoja
 
Huyo jamaa unakuta kajumlisha vitu hivi...

Twists

Plus....

Frick


Plus....

Tease

Ukijumlisha hap jibu utakalopata ndo hilo la ww zaa ntachukua mtoto
 
Kweli kabisa!!!
Mwanamke utazaaje alafu umuachie mtoto mwanaume?
Wapo wengi tu jamani tunatofautiana sana....hukuona ile thread bidada anatak bebea watu mimba kwa malipo....its part of biashara nowadays Papy[emoji19]
 
Ukifuatilia utagundua wanawake wanaombiwa hivi ni wenye mvuto fulani

Wanatafuta mbegu nzuri

Wanawake wabaya huwa hawapati hizi chances
wee nizalie tuu nitamchukua mtoto
 
Vituo vya watoto yatima havijui? Aende akaadopt huko
 
Siku za karibuni kumekuwa na wimbi la wanaume wanaohitaji wadada wa kuzaa nao tu. Husema " wewe zaa, nitamchukua mtoto".

Hivi wanaume wa dizaini hii akili zao huwa zimekufa ganzi?

Karibuni tutiririke..
Hayo ni mapepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…