ubunifu ni mzuri kwenye kutotolesha, lakini jiandae kuingia garama kubwa unapoacha njia ya asili ya utotoleshaji.
Wengi najua fika tunatafuta njia rahisi na isiyokuwa na garama ya kutotolesha, incubator za kisasa huwezi zikwepa.
Hizo picha hapo juu ni ukanjanja tu na time consuming, itakubidi ukae ukigeuza mayai mara kwa mara, umeme ukikatika roho juu, risk ya kutotoleshwa iko juu licha ya kuchambua mayai vizuri, huo siyo ufugaji bali ni kuishi na kuku.
Ufugaji wa kuku ni kuwekeza muda wako, tenegeneza kuku waatamiaji wazuri km huwezi nunua incubator yenye ubora. Tuache kutaka mserereko alafu tutegemee matokeo makubwa