Wewe ni IT technician?

Wewe ni IT technician?

An African

Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
10
Reaction score
6
Hello JF,

Anatafutwa kijana mwenye kuanzia Diploma akiwa na bachelor itakuwa safi zaidi ya IT, akiwa na professional certification kama Network plus, C C N A or C C N P itakuwa ni added advantage...maana nataka kijana mzuri wa network.

Atume Cv kwenye ymwaki@softnet.co.tz na yusuphmwaki@yahoo.com asanteni sana
 
Unamuhitaji katika ishu ipi awe mwalimu kufundisha ccna na ccnp,au kuna ishu za networking asimamie??
 
Back
Top Bottom