Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Joh Makini, Nikki wa pili na G.nako wakihojiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio wamezungumzia suala la kubebwa alilodai Young Killer
Joh Makini yeye hakutaka kulizungumzia kabisa na kudai ni upuuzi
G Nako akijibu amedai kuwa alisema hivyo ili aonekane amezungumza na watu wamzungumzie... na Nikki wa pili akadai kuwa Joh Makini anabebwa kwa sababu vitu vizuri mfano fedha...huwa vinabebwa